Mfahamu Mtu wa Mwisho Kuongea na Agness kabla Hajafariki.

Msanii wa kiume wa maigizo nchini Chopa wa Mchopange amefunguka na kusema kuwa mpaa dakika ya mwisho marehemu Masogange anakata roho yeye alikuwa nae hospitali hapo Mwenge kwa Mama Ngoma hivyo anaumia sana anapokumbuka muda na wakati kaama huo.

Chopa ambae alisema kuwa Agnes alikuwa nae muda wote siku hiyo alipokuwa hospitali lakini anaamini kuwa jambo kubwa lilikuwa likimsmbua ni presha ambayo aliipata pengine kutokana na misukosuko ya kesi yake aliyokuwa ameipitia.

download latest music    

Hta hivyo Chopa anasema kuwa hata alipozidiiwa Agnes aliomaba kuitiwa nesi ndipo alipoinuka kwenda kumuita nesi na aliporudi aliambiwa kuwa agnes ameshafariki.

Katika mahojiano yake na waandihi wa habari Chopa ansema kuwa swala kubwa agnes alilokuwa anasisisitiza ni kwa vijana kuacha kuingizana katika mambo ambayo na kusaidiana ili kupendana na kuokoana ana sio kupelekana pasipo faa.

Agness kafa namuona kabisa, namuona tulikuwa tu aongea vizuri kabisa tunacheka ghafla akaomba nimuitie nesi,nikatoka kwnda kumuita nesi nesianakuja akamtazama akaniambia kazi ya mungu, amefariki.binafsi sikutraka kuamini kwa wakati ule mtu unaongea nae vizuri alafu unakuja kuambiwa kuwa amekufa kuna mambo mawili ambayo makubwa Agness aliniambi kabla hajafa lakini nitayasema wazi baaada ya msiba kuisha”

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.