Mchungaji Mashimo Amtia Kitanzi Amber Rutty
Mchungaji Daudi Mashimo ambae amehusika na kumtolea dhamana mwanadada Amber Rutty pamoja na mpenziwake amewakataza msanii huyona mpenzi wake kutokuongea chochote walipokuwa mbele ya kadamknasi usiku ya boxing day jijini Dar es salaam,
Wawli hao ambao waleikwedna kuungana na wengine katika shoe ya Mc pilipili ya mwaka huu jijini, walionekana katika ukumbui huo na kila mwandishi wa habari alitaka kusikia neno kutoka kwao hasa uikiwa ndio mara yao ya kwanza kuoekana pamoja wakiwa public tangu walipopata skendo hiyo na kesi yao kupelekwa mahakamani,
Hata hivyo wawili hao walipotaka kusimama na kusema kitu,mchungaji mashimo aliwazuia kutokuongea kitu chochote mbele ya waandishi wa habari kuhusu maisha yao ya sasa.
Hata hivyo wawili hao wanaonekana kubadilisha aina yao ya maisha wanayoishi hasa baada ya kuoekana wakiimba wimbo wa dini.
Waandishi walipokuwa wakimfuata Amber Rutty, , Mchungaji aliskikia akisema ‘ Amber rutty rudi ndani , hapa tumekuja kwa ajili ya kitu kingine na wala sio kwa ajili ya kuonea na waandishi wa habari, samahani sana, mkiwahitaji hakuna shida watafutie sehemu nyingine sio hapa”.