Mc Pilipili Amwaga Machozi Baada ya Kumvisha Pete Ya Uchumba Mpenzi Wake
Mshereheshaji Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’ amemvalisha pete ya mpenzi wake (Mke mtarajiwa) Philomena Thadey, nyumbani kwa wazazi wa mwanamke maeneo ya Boko, Tegeta jijini DSM, sherehe hiyo imehudhuriwa na watu mbalimbali wa Serikali na taasisi zisizo za kiserikali.
Kwenye tafrija hiyo iliyotrend kwenye Mitandao ya kijamii Mc Pilipili alionekana kuangua kilio cha Mtoto mdogo Baada ya kumchumbia Mpenzi Wake huyo wa siku nyingi.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amefunguka baada ya MC Pilipili kumvalisha pete mpenzi wake huyo ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram aliandika:
https://www.instagram.com/p/BsQunD_FtZg/?utm_source=ig_share_sheet&igshid=u3aqic6vlfu7