Mc Pilipili Amshauri Ben Pol Kumuoa Anerlia
Msanii wa maigizo ya vichekesho nchini mc pilipili matoa ushauri wa bure kwa msanii mwenzake ben pol ambae pia ni kabila moja na yeye kwa kusema kuwa kwa jinsi anavyowajua watu wa kabila lao huwa wanapendwa kweli kweli hivyo afanye hima aweze kuishi na mwanamke alieyenae kwa sasa katika mahusiano.
Mc pilipili anasema hayo baada ya kuona kuwa kuna penzi zito na jpya linaloshamiri kati ya ben pol na mwanadada mmoja kutoka kenya, hivyo amemshauri ben kuamua kufanya uamuzi wa kuoa mapema kabla mambo hayjaharibika kabisa.
Wagogo tukipenda huwa tunapotea kabisa, Ben pol ninakuelewa kabisa kaka yangu , huu mwaka wetu kama tulivyoongea kaka.
Kama alivyotangaza Mc pilipili kuwa mwaka huu ataoa basi ndio anamwambia na Ben pol kuwa wafanye wakamilishe lengo mwaka huu.