Maulid Kitenge Amshauri Diamond Ajipange.
Mtangazaji maarufu wa media moja hapa nchini Maulid Kitenge amefunguka na kumshauri msanii damond platinumz kuacha kub weteka anapokuwa jukwaani na kufanya kama wanavyofanta wasanii wengine na kuacha kufatiliza kuimba kwa nyuma katika CD.
Maulid amemshauri iamond baada ya show yake ya wiki iliyopita , show ambayo ililalamiki wa na baadhi ya mashabiki kuwa badala ya kwenda huko ni bora hata wangelala na sio kile walichokiona ambavho hawakukitegemea kabisa.
Maulid anamwambia Diamond kuwa ‘ Wakenya hawataki kabisa hayo, wakenya wanataka uimbe na sio kuwiambisha wao playback”
Hii inakuja baada ya wasaii wengi bongo kshindwa kufanya muziki wa live band wanapokuwa jukwaani wakitengea DJ na CD za kugandamizia.