Mastaa Walizwa na Msiba Wa Godzilla
Siku ya jana Msanii wa Hip Hop Golden Jacob maarufu Godzilla ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo.
Wasanii mbali Mbali Bongo wameonekana kuguswa na msiba huo wa ghafla kupitia kurasa za Mastaa mbalimbali nchini wamefunguka na kueleza Jinsi walivyoguswa na msiba huo:
