Maneno Mazito ya Mpiga Picha wa Diamond Kuhusu Zari

 

 

download latest music    

Mpiga picha wa msanii marufu nchini Diamond Platinumz ambae kwa jina lake maarufu la instagram anajulikana kama Kifesi amefunguka na kusema kwa upande wake yeye hapendi kuwa mnafiki juu ya mahusiano ya bosi wake Diamond amemtaka bosi wake kujifikiria mara mbilimbili juu ya uamuzi wake wa kuachana na mama watoto wake Zari the Bossy.

 

                                                      

                                                                       kifesi

kifesi ambae tangu siku ya kwanza ya Zari kutangaza kuachana na Diamond hakuonekana kukubaliana ha hilo tofauti na wanafamilia na marafiki wengine wa msanii huyo ambao walionekana kufuata upande wowote alipo bosi wao  anasema kwa siku zote hakutaka kuwa mnafiki hivyo  kwake yeye Zari ndio mwanamke anaeona anafaa kuwa karibu n rafiki zake kwa sababu anaamini kuwa Zari ameshushwa na mungu kwa Diamond

blaza angu chibu, hivi ni kweli kabisa umekubali huyu mwanamke wa baraka uliepewa na mungu  akakupa na kafamilia kzuri aende..duh haya bhana akili ni nywele kila ..kila mtu na nywele zake..as a good friend ambae siku zote sipend kuona you downfall sipend kukuona ukipotea in any way  mimi nitaendelea kukumbusha .. na kukuombea pia akili zirerejee  usjekumbuka shuka pamekucha.-Aliandika Kifesi katika ukurasa wake wa instagram.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.