Mama Kanumba Awalalamikia Wasanii Kutofika Katika Kumbukumbu ya Mwanae
Mama wa marehemu Steven Kanumba amewalalamiki wasanii wngi ambao hawakufika katika kumbukumbu ya msanii huyo aliyewahi kuwa nguli na mkombozi wa wasanii wengine katika tasnia ya bongo movie.
Kanumba ambae alikuwa akitimiza miaka 6 tangu kifo chake tarehe 7 April alifariki baada ya kuwa na ugomvi na mpezni wake lulu michael na kusababisha kifo chake tarehe kama hiyo miaka sita iliyopita.
mama wa marehemu anasema kuwa hashangai sana kuona wasaini wengi hawajahudhuria katika siku hiyo kwa sababu wasanii hao wameshamaliza msiba lakini yeye bado kwake kidonda ni kibichi na ataendelea kulia tu.
hata hivyo Mama Kanumba anasema kuwa wasanii walipaswa kuwa wengi kutokana na vile kanumba alivyokuwa akiishi na wasanii wenzake wengi walipaswa kumkumbuka.
Idadi ya wasanii waliokuja hapa ni wachache ukilingakisha na namna Kanumba alivyokuwa akiishi nao vizuri,lakini ndio hivyo uwezi kulazimisha watokee,isitoshe labda wao wanaona wamemaliza msiba lakini kwangu bado upo ila ninachowaombea yasije yakawakuta kama hayandio watajua nin i ninamaanisha.