Majibu ya BASATA Baada ya kukaa na Diamond

Baraza la sanaa tanzania wamefunguka na kusema kuwa vijana wengi hawana elimu ya kutosha kuhusu sheria za kimtandao na dnio maaana wameuw wakiweka picha sizizokuwa na maadili katia mitandao ya kijamii.

Akizungumza na waandsihi wa habari, Godfrey Mungereza amesema kuwa  watu wengi wamekuwa wakiona kama Diamond amlewa umaarufu lakini sio kweli lakini Diamond ni kama wasanii wengine na wanahitaji kusaidiwa kueliemishwa kuhusu ilo.

download latest music    

Watu wanaweza kuhisi kama Diamond amelewa umaarufu lakini sio kweli kwamba Diamond amelewa umaarufu au mafanikio.Diamond ni kama wasanii wengine , mimi kama msimamizi wa baraza na wasanii wote ninaomba tusimuhukumu Diamond kabla ya kumsikiliza  wala kuongea nae  na wala sidhani kama umaarufu umemfanya Diamond kufanya hivyo.

Katibu huyo wa baraza anasema kuwa wasanii wengi hawajui madhara ya sheria hii mpya na kwamba hakuna umaarufu wowte unaoongezaeka unapoweka picha kama hizo kama mtandao.

Kwa vijana wengi wa kitanzania sheri ahiyo ni mpya , tunatakiwa kuwaelimisha zaidi kuwa kuweka picha katika mitandao ya kijamii hazikuongezei umaarufu.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.