Madam Flora ako tayari kuingia kwenye ndoa tena na anatafuta mwanaume wa namna hii
Madam Flora amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya ndoa yake na Emmanuel Mbasha kuvunjika.
Amezugumzia sana sana uamuzi wake kwa kujiita madam Flora na hapo awali alijulikana kama Flora Mbasha na vile waliochukulia uamuzi huyo.
Kulingana na yeye, hajaadhirika na ako na amani ndani ya moyo. La si hivyo tu, ako tayari kuingia kwenye ndoa tena na hizi ndio vitu anazotaka kwenye mume.