Lulu Atoa ofa ya Nguo kwa Mashabiki.
Mwanadada Lulu michael ameamua kutoa ofa kwa mashabiki wake kwa kutaka kugawa nguo zake nyingi zilizopo katbabtini huku akiwataka watu mbalimbali kumtumia picha ya nguo waliowahi kumuona nayo akiwa amevaa na kupendeza kisha yeye kuipenda ili aweze kugawa nguo hizo.
Mwanadada huyo ambae kwa sasa amekuwa nje ya mitadao amekuwa akitumia sana mtabada wake wa snap kwa ajili ya kupost kutokana pia na population ndogo iliyopo huko.
Akiandika katika ukurasa wak wa snap, lulu alisema kuwa ” kuna nguo yoyote uliwahi kuipenda na ukatamani kuwa nanyo…oaky 2019 nitaanza kusafisha kabati langu ..who si ready ”