Linah achanwa mitandaoni baada ya kuachia picha hii
Image: LinahLinah ambaye akokaribu kumkaribisha mtoto wake wa kwanza hivi karibuni amewacha wengi wakiongea mitandaoni baada ya kuachia picha ambazo zinaonyesha uchi wa tumbo lake.
Muimbaji huyo aliwaacha wengi kama wamechanganikiwa baada ya rangi yake iligeuzwa na kuwekwa nyeusi huku akikaa nikama amepakwa mafuta mingi mwilini. Mmoja wa mashabiki wake aliandika kusema,
jumalokole2Kwanza najuwaga linna ni mweupe sasa sijui kapakwa nini na tarick,, pili aya mafuta ni ya kula au ya Nazi? . Maana umekandikwa ukakandikika haswaa. Kwani ukivaa dera tumbo alionekani? ?
Ingawa huu ndio mtindo ambao wanawake wengi wanaiga siku hizi, inaonekana Linah akufanya inavyotakikana. Tazama picha hiyo hapa.