Lavalava Afunguka Kushikwa Sehemu za Siri
Msanii kutoka kundi la WCB amefunguk juuu ya video iliyosamba sana mitandaoni wiki iliyopitaikimuonyesha akiwa jukwaani na baadhi ya mashabiki wake wa kike wakimshika na kumingizia mikono katika sehemu zake za siri.
Msanii huyo anasma kuwa hajaona jambo geni kufanyiwa hivyo huku akitoa mfano wa msanii mwenzae kutoka nigeria davido aliwahi kufanyiwa hivyo na hakukuwa na jambo baya lolote.
sijaona jambo geni kwa kufanyiwa hivyo mbona hata wakina davido walifanyiwa vitu kma hivyo, kitu kilichonisikitisha sana ni kuwa kuna moja kati ya wale wasichana ameachwa na boyfriend wake , ni jambo limeacha historia kwa nchi ya kenya lakini ile imeonyesha jinsi gani tumepokelewa vizuri.
Kwa sasa msanii huyo anafanya vizuri na kibao chake cha niuwe.