Kesi ya Wema Kufikia Ukingoni
Mwanadada Wema Sepetu ambae amekuwa aikabiliwa na kesi ya kuchapisha picha na video chafu katika mitandao ya kijamii , amefika mahakami tena February 13 kwa ajili ya kusikiliza kesi hiyo.
Kesi hiyo ambayo imekuwa ikitajwa mahakamni kila siku na kusemwa kuwa uchunguzi haujakamilika , wapelelezi waliamuliwa kutakwa kufanya uchunguzi kwa haraka kwa sababu kesi hiyo imekuwa ikitajwa bila kufanyiwa kazi kabisa.
hata hivyo , baaada ya kesi hiyo kusomwa tena siku ya february 13, Kesi hiyo ya Wema Sepetu itatakiwa kusomwa tena february 21 , hivyo kumalizika kwa haraka kamaitaanza kusoma.