Jux Aelezea Changamoto za Mahusiano na Vee
Msanii Jux amefunguka na kuandika kwa jisni gani muda mwingine amekuwa akikutana na changamoto za kukatisha tamaa lakini kwa sababu kuwa na mpenzi msanii ni sawa na kukubali kila kitu lakini kumuamini sana yule mtu unayempenda.
Katika ukurasa wake Jux aliandika “NITAKUPIGIA NIKO STUDIO, mtu wa kawaida kuwa na mahusiano na mtoto wa kike star ni kitu kinachohitaji uvumilivu sana, kuna muda unaweza kukutana na meseji za mashabiki lakini jinis zilivyoandikwa inaweza ikakupa mawazo sana, namba yake wanayo watu wengi na kwenye magroup mengi, na kuna wakati anaweza kukwambia niko studio na wala usimuelewe lakii swala ni ukimuelewa unaweza kumvumilia, kama mimi na vanesa wote tunaelewa harakati zetu hivyo hata akiniambia kuwa yuko studio nitampigia baadae anakelewa. “
Wawili hao kuna wakati walisemwa kuwa wako tofauti sana kiasi kwamba mashabii wanahisi kama vile watakuwa wameachana kwa sababu tu waliwahi kuzoeleka kuwa pamoja muda mwingi.