Johari Akiri Mahaba Yake kwa Pombe
Mwanadada Johari chagula amefunguka na kusema kuwa katika maisah yake kitu kikubwa ambacho kimekuwa cha starehe kwake ni kunywa ppombe na wala sio kitu kingine.
Mwanadada huyo ambae aliwahi kuripotiwa hata kuibiwa akiwa baa amelewa anakiri kuwa starehe yake kubwa kwa sasa ni pombe na sio kitu kingine.
Akiongea na waandishi wa habari, johari anasema kuwa aliamua kuchaguwa pombe kuwa starehe na rafiki yake mkubwa kwa sasa akiwa amekunywa pombe hakuna shida na mtu anayosababisha.
Hakuna kitu ninakipenda kama pombe, maana ndio starehe yangu pekee.