Jeshi la Polisi Lashikilia Hati za Kusafilia Za Wasanii Hawa.
Wasanii diamond, nandy, bilnass na hamisa mobeto wamenyanganywa hati zao za kusafiria pamoja na simu zao za mikono kwa muda usiojulikana mpaka pale uchunguzi wa matukio na makosa yao utakapo kamilika.
Wasanii hao ambao ilithiitika kukakamtwa na polisi ili kuhojiwa kutokana na utovu wa nidhamu na kuvunjika kwa maadili walikoonyesha baada ya kuvujisha picha na video za uchi zilizosambaa katika mitandao walifgikishwa polisi na kuhojiwa kwa ajili ya kutoa taarifa iliyo kamili.
Kwa nyakati tofauti, Billnass na Nandy wanama kosa ya kuweka video iliyowaonyesha wakiwa faragha na kusamba kwa picha hiyo katika mitandao huku kila mmoja akikana kuhusika na kusambaa kwa picha hizo, hivyo uchunguzi unaendelea hili kujua nini chanzo cha video hiyo.
Huku upande wa Diamond pia kuna video zilizosambaa zikimuonyesha Diamond kwa wakati tofauti akiwa na mwanamke mwenye asili ya kihindi na pia nyingine akiwa na Hamisa mobeto ambapo kwa sheria za makosa ya kimtandao wote wanaingia hatiani mpaka pale itakapobainika chanzo cha video hizo kuvuja.
Huu ni utekelezji wa serikali kurudisha maadili nahadhi ya sanaa kwa kukemea kuvunjika kwa maadili kwa kisingizio cha kuwa sanaa ni uhuru.