Irene paul apigana location
Mwanadada i=UIrene paul na Mary mawigi wanaripotiwa kupigana walipokuwa location walipouwa wakifanya kazi yao.Wawili hao ambao walikuwa wakifanya kazi ya huba, walisgindwa kuelewana katika baadhi ya mambo na ndipo irene alipoamua kumsukuma mary na Mary kushindwa kuvumilia na kumpiga vibao na ndipo varangati lilipoanza.
Wawili hao walishindwa kumaliza tofauti zao na kuamua kuondoka sehemu ya kufanyia kazi kwa muda huo.
Hata hivyo baada ya kutafutwa na kuulizwa kuhusu tetesi hizo, wawili hao kila mmoja kwa nafasi yake alishindwa kutoa majibu ya kueleweka huku mary akishangaa ni nani amevujisha ubuyu huo na kusema wao ni wakubwa wanajua jinsi ya kuyatatua.
Kwa upande wa irene paul hakupokea simu ya mwandishi na hata ulipotumwa ujumbe alionekana kuuusoma lakini hakujibu.