Irene Paul Amtaka Kajala Amtoe Mtoto Katika Mitandao
Moja ya wasanii wanaofanya vizuri sana katika tasnia ya muziki Irene Paul amefunguka na kumshauri Kajala Masanja kutaka kumtoa na kumuweka mbali na mitandao ya kijamii kwa sababu yule ni mtoto bado na ana maisha yake ya baadae.
Irene anasema kuwa pamoja na kwamba mitandaoni kumekuwa na maneno mengi anachoamini ni kuwa kajala tayari ameshaweza kustahimili kila neno lakini anapswa kuiogopa sana mitandao hasa kwa mtoto wake.
Irene anasema kuwa baada ya maneno hayo ya kumsema mtoto wa kajala kutokea amekuwa muoga sana wa mitandao ya kijamii hasa kwa mtoto wake ambae bado anakuwa na anajitahidi kumuweka mbali sana na mitandao.
Irene anasema kuwa kwa kitendo icho basi wasanii wanapaswa kujifunza kuwachaguliwa watoto wao fubgu la kukaa kwa sababu mwisho wa siku wanapokuwa wako attacked , wale wanaowa-attack hawana wanachojali.