Irene Afungua Club Siku Yake ya Kuzaliwa
Mwanadada Irene uwoya amefanikiwa kufungua club siku yake ya kuzaliwa ikiwa ni moja ya vitu alivyowahi kuvitamani sana katika mafanikio yake.
Irene ambae amesherekea siku yake yakuzaliwa wiki hii huku ikisemwa kuwa bajeti ya siku hiyo ilikuwa ni ya mamilioni ya pesa , ameweza kufanya siku hiyo kuwa ya lkipekee kwa sababulicha ya kushrekea na marafiki lakini pia aliweza kutoa sadaka kwa watoto wenye uhitaji katika moja ya vituo vilivyopo jijini.
Mwanadada Irene ambae amekuwa akisemwa kuwa kwa sasa amekuwa akitumia pesa ndefu sna katika kila kitu anachofanya amekuwa akisemwa kuwa wapo ma-sponsor wanaosimamia show hizo lakini yeye mwenyewe amekuwa akinausha taarifa hizo na kusema wadhifa wake ni juhusi zake mweyewe.
Mwanadada Irene ametimiza miaka 30 mwaka huu na birthday hiyo imekuwa ikisherkewa wiki nzima hasa kutokana na zawadi mbalimbali ambazo bado anazipokea mpaka sasa.