Ikulu Yatabua Mchango wa Diamond Sumbawanga
Wikiendi iliyopia ilikuwa ni wikiend ya mambo mengi huku msanii Diamond Platinumz akiwa Sumbawanga na kundi lake kwa ajili ya Wasafi festival.
Katika kufanya na kutembelea vitu mbalimbali katika jamii, msanii Diamond aliona moja ya huitaji wa shule moja mjini humu kwa ajili ya kufanyiwa ukarabati na ia kujengwa baadhi ya majeno kitu ambacho msanii huyo aliahidi kukufanya.
kwa kulitambua hilo, kurugenzi ya ikulu imetuma salamu za pongezi na kuonyesha kuwa wamefurahishwa na kitendo cha diamond kutaka kuisaidia jamii kupitia shuke hiyo hasa katika sekta muhimu ya elimu katika jamii.
Pamoja na kwamba mambo hayakwenda sawa katika tamsha la wasafi Festival mkoani humo baada ya msanii huyo kudondoka katika jukwaa lakini , hatua kubwa Diamond anayotaka kuifanya kwa ajmii hiyo ni swala la kukumbukwa na hasa hata baada ya kuweka jiwe la msingi katika shule hiyo ikiwa na jina lake.