Idris Sultan Atangaza Ajira Kwa Vijana 15 na Mshahara Wa Milioni 1
Mchekeshaji maarufu kwenye mitandao ya kijamii Idris Sultan amefunguka na kutangaza fursa ya kazi kwa vijana 15 wa Kitanzania.
Idris aliongea hayo siku chache zilizopita baada ya kufanikiwa kufikisha mashabiki milioni tatu katika ukurasa wake wa Instagram,
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Idris ameandika;
Nimefikisha 3 million followers instagram na kushukuru jamii kwa hilo nitawapa ajira vijana 15. Vijana watano kwa kila mmoja milioni. Pata kwa jamii rudisha kwa jamii. We help each other before they help us“.
https://www.instagram.com/p/Bpq0Py8nEyZ/?utm_source=ig_web_copy_link