Idris Aanza Kuonyesha Mafanikio Yake Kwa Mwaka 2018
Mchekeshaji maarufu wa bongo Idris Sultan azidi kuonyesha mafanikio yake ikiwa ndio mwaka umeanza hivi karibuni kwa kuonyesha tena deal kubwa alilokuwa amesaini mwishoni mwa mwaka 2018.Mchekesahji huyo ambae alipost akiwa na nguo ya ndani ya kampuni ya Calvin Klein ambae ni moja ya kampuni kubwa ya nguo Duniani.
Idris amekuwa ni mmoja wa wasanii waliofanikiwa sana wa mwaka 2017 kutokana na deals nyingi alikuwa amezipata kwa mwaka huo.Mkataba wa Calvin Klein ulisainiwa na Idris kwa ajili ya kutangaza nguo zandani za kampuni hiyo ambayo imekuwa ikitangazwa na wasanii wakubwa Duniani akiwepo Trey Songz.
Katika ukurasa wake wa instagram , Idris aliandika kuwa mwaka 2018 umeanza vizuri kwake kuwa hana muda wa kupoteza yupo kwa ajili ya kutengeneza pesa.
i know its january but am just bad like thatm no time to waste. money monster #mycalvins #calvinkleins #prshoot #2018
Ukiachana na deal ya Calvin Klein, Idris pia anategemea kushoot movie ya Blue Mautitius hivi karibuni na wasanii wengi wakubwa kutoka Marekani.