Hii ndio tahadhari idara kuu ya polisi ya Tanzania imetoa tukielekea msimu huu wa pasaka
Image: Riot policemen stand on a truck during as they patrol Zanzibar October 19, 2012. REUTERS/Goran TomasevicIdara kuu ya polisi humu Tanzania imetoa tahadhari kwa wananchi wote wakati huu tunapoelekea msimu wa pasaka.
Ni tahadhari ya usalama wakati huu ambao wahalifu wanajitokeza kwa wingi kuhangaisha watu waliojumuika kwenye starehe.
Huu ndio ujumbe Advera, John Mulimba msemaji mkuu wa jeshi la polisi alitumia vyombo vyote vya habari: