Haya ndio Majiji 6 Watanzania wengi wanapenda kutembelea!!
Watanzania wengu wa dunia ya sasa wanapenda sana kusafiri. Kwasababu watu wengi sasa wanapenda kujua mambo mapya na kutaka kuifahamu dunia vizuri na kiundani.
Majiji sita ambayo watanzania hupendelea kwenda ni haya hapa:-
1.) Johannesburg nchini Afrika kusini
• Jiji kubwa kuliko yote Afrika kusini na mji mkuu wa Mkoa wa Gauteng
• Panafahamika kama mji wa dhahabu na jina lake limefupishwa kua Joburg au sasahivi maarufu kama Jozi.
✈DAR kwenda Johannesburg kwa TSHS370,000 tu tarehe 30 Disemba,2019.2019. https://avs.io/VmLW
2.) Abu dhabi nchini Dubai:
• Mji mkuu wa Emirate;
• Moja ya majimbo saba ya nayounda Umoja wa falme za kiarabu UAE ????????
• Ni maarufu kwa vivutio vya kimila na vivutio vingi kwa safari za kifamilia;
✈DAR kwenda Abu dhabi Kwa TSHS 785,334 Tarehe 30 Disemba ,2019. https://avs.io/VmNu
3.) Paris nchini Ufaransa:
• Mji mkuu wa Ufaransa maarufu kama Jiji la mataa;
• Jiji linalotembelewa kuliko majiji yote duniani;
• Inasifika kwa mnara wake wa Eiffel ulio na vitu vingi vya kihistoria;
• Ni mji mzuri na wa kushanganza Uingereza!
DAR kwenda PARIS kwa TSHS 878,260 tu Tarehe 30 December,2019.https://avs.io/VmOu
4.) Bangkok nchini Thailand:
• Jiji kubwa maarufu kwa mataa mengi barabarani na mitaa ya kung’aa majira ya usiku;
• Jiji lenye kushangaza, kufurahisha na pia ni jiji lisiloishiwa na pilika iwe usiku au mchana.
✈DAR kwenda BANGKOK kwa TSHS 979,408 tu Tarehe 30 Disemba, 2019. https://avs.io/VmRT
5.) Guangzhou nchini China:
• Mji wa tatu kwa ukubwa China baada ya Shanghai na Beijing
• Ni mji mkuu wa Jimbo la Guangdong Nchini China
• Ni maarufu kwakua na mahekaru, makumbusho na mbuga, kama Mbuga ya Nanling unazoweza kwenda kutembelea.
DAR kwenda Guangzhou kwa TSHS 854,556 tu Tarehe 30 Disemba, 2019. https://avs.io/VmQZ
6.)Mumbai nchini India.
• (Zamani ilifahamika kama Bombay) ni mji ulio na watu wengi sana pwani ya magharibi ya India.
• Mumbai ni mji mzuri sana wa kihistoria wenye sehemu za makumbusho za kuvutia, maduka makubwa, na mji uliochangamka sana majira ya usiku.
DAR kwenda MUMBAI kwa TSHS 742,778 Tu Tarehe 30 Disemba, 2019. https://avs.io/VmRe
Mji gani kati ya hii unafikilia kutembelea???