Diamond Platnumz ni msanii anayefanya vizuri sio tu Tanzania bali hata nchi za Afrika na Kimataifa zaidi. Watu wanavutiwa na uimbaji wake na hasa staili yake ya kipekee ya kucheza. Lakini zaidi ya hayo mashabiki wengi wa Diamond wanapenda zaidi kujua kuhusu maisha yake binafsi yaani kuhusu mahusiano yake.
Diamond ni moja kati ya supastaa Bongo anayejulikana kutokana na kuwa na mahusiano na wasichana warembo sana ambao wanaweza kuwa wanamuziki au waigizaji wa Bongo movie. Leo tutaangalia baadhi ya warembo hao aliowahi kuwa nao kimapenzi na kuweka wazi au kukubali kuwa nao.
Hiyo ndo listi nzima ya Ma-ex wa Diamond je yupi unahisi alipendeza na Diamond? Tafadhali weka maoni yako.
About this writer:
Diana
I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.