Hawa Ndio Mastaa Wa Kike Wanaopenda Wanaume Wenye Umri Mdogo (Viben-10)
Moja kati ya vitu vilivyo zoeleka kwenye jamii zetu kwenye masuala ya mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke ni umri, tumezoea siku zote kuwa ni lazima mwanamke awe na umri mdogo na kuliko mwanaume yaani mwanaume lazima awe na umri mkubwa kwenye mahusiano.
Kitokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia na ujio wa wazungu basi hilo limebadilika hivi sasa unaambiwa umri sio kitu bali ni namba tu cha maana mapenzi tu baina ya wawili haijalishi una umri gani.
Hilo pia linatokea pia kwa mastaa wetu ambao wadada wengi sahivi wanapenda kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanaume wadogo kiumri kwa sababu wanazozijua wao wanawake hao wanaitwa masugar mama na vijana wanaolelewa wanaitwa viben-10, serengetiboys au maryoo.
Hawa ni baadhi tu ya mastaa waliowahi kuwa na uhusiano wakimapenzi na wavulana wadogo au mpaka sasa bado wana uhusiano nao.
1. Wema Sepetu na Idris Sultan
2. Zarinah na Diamond
3. Irene Uwoya na Dogo Janja
4. Shilole na Nuh Mziwanda
5. Nisha na Baraka Da Prince
6. Irene Uwoya na Msami Baby
7. Jacqueline Wolper na Brown
Je unahisi ni staa gani mwingine anafaa kuingia kwenye orodha hii?