Harmonize Akana Mahusiano ya Kimapenzi na Wolper.
Msanii wa muziki kutoka katika kundi la WCB Harmonize amefunguka na kukana tetesi za kuwa yeye na mwanadada Jackline Wolper kuwa wako katika mahusiano ya kiampenzi kama inavyovuma kwa sasa katika mitandao ya kijamii.
Harmonize anasema kuwa kitendo cha kumpandisha jukwaani haimaanishi kuwa wao ni wapenzi bali wamekuwa marafiki na kuacha tofauti zao kando kuanzia walipoamua kufanya hivyo.
nikimtaja wolper au kumpandisha jukwaani maanake ni malkia wangu
Wawili hao waliwahi kuwa na mahusiano ya uda mrefu na hata kutangaza ndoa lakini baadae walikuja kuachana kwa kutukananana sana katka mitandao ya kijamii wakati huo kila mmoja alikuwa tayari na mahusiano na mtu mwingine,