Happy Birthday Mume Mwenzangu ;-Idrisa kwa Diamond

Mchekeshaji Idrisi Sultani ametuma salamu za sikukuu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa msanii mwenzake Diamond Platinumz kwa kumuita mume mwenzake huku pia akitoa baadhi ya maneno ya kashafa kwa wanawake ambao ameshare nao.

katika ukurasa wake wa twitter,, Idris alisema kuwa pamoja na yote Diamond akae akijua kabisa kuwa wanawake anaotembea nao ambao na yeye anatembea nao wamekuwa wakimsimulia baadhi ya mambo ambayo wamekuwa wakifanya wanapokuwa katika mahusiano.

download latest music    

Idris aliandika ”  by the way happy birthday mume mwenzangu  kwa naniii na nanii na nanii pia kwa kukumbuka tu haraka haraka huwa wananiadithiaga kwaio kaza mwamba.”

Idris na diamond waliripotowa kuwa na mahusiano ya mwanamke mmoja kwa wakati tofauti ambae alikuwa ni Wema sepetu lakini ilikuja kuvuja tena kuwa Idris amekuwa na mahusiano ya kimapenzi ya siri na mwanadada LYNN.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.