Hamisa Mobetto Anunua Gari Jipya (video)
Mwanamitindo na msanii wa Bongo fleva Hamisa Mobetto amezidi kung’aa kwani ameanika gari lake jipya alilonunua katika siku za hivi karibuni.
Kupitia ukuarasa wake wa snapchat, Hamisa amejirekodi akipiga picha na kuonyesha gari lake jipya ambalo halina hata palte number ambalo ni aina ya Toyota Vanguard.
https://www.instagram.com/p/Bpi8AonlKm1/?utm_source=ig_web_copy_link
Hamisa amezidi kung’aa kimaisha kwani hivi sasa yupo chini Marekani kwa ajili ya show akiwa na msanii muimbaji Christian Bella.