Hamisa Atuonyesha Bwana Mpya.
Mwanadada Hamisa mobeto ambae kwa sasa amekuwa moja ya trending kbwa katika sanaa ya bongo ameamua kuweka wazi mahusiano yake baada ya mwanadada huyo kumficha mwanaume huyo kwa muda mrefu.
Hata hivyo ingawa kuna watu wamekuwa wakisema kuwa alichofanya hamisa sio sahihi kwa sababu alitakiwa aweke mahusiano yake kuwa ya siri ili kutoharibu cv yake kama zinavyokuwa zikiharibikia cv za baadh ya wasanii kwa sababu ya kutafuta kiki.
Katika ukurasa wake wa snapchat , hamisa aliaweka baadhi ya picha huku akisema kuwa huyu ndio baba yenu kwa sasa huku wawili hao wakionekana kula raha katika moja ya hotel kubwa Zanzibar.