Hakuna Mmanyema Anaeachwa na Mwanamke, Diamond Kam-shit Zari.:-Mwijaku
msanii wa maigizo na tamthiiya nchi ,mwiaku amefunguka na kusema kuwa sio kweli kuhusu taarifa ambazo zilizagaa sana za kuisha kwa penzi kati ya Diamond na Zari huku chanzo ikiwa ni kuachana kwao zarinndie alieamua kuchana na diamond.
Mwijaku anasema kuwa hakuna mwanaume yoyote kutoka kigoma anaachwa na mwanamke labda huyo hajapanda treni kuja jijini lakini wanachojua wao ni kucha na wala sio kuacha kama wanavyomchafua.
akiongea kwa kujiamini katika mahojiano na Global, Mwijaku anasema ” we unafikiri Zari kamuacha Diamond, hakuna kitu kama hico hata siku moja.hakuna mwanaume wa kimamnyema anaachwa na mwanamke Dunia toka umeombwa hadi ikaisha hakuna aslaanii, akitokea hujui huyo sio mmanyema na hajatoka Kigoma, labda huyo hajapanda treni.HATUACHWI hiyo ni siri nina kuibia na tukigusa sehemu ubanduki.
Mapenzi ya Zari na Diamond aliisha pale Zari alipoamua kutangza mwaka huu april 14 kuwa yuko single na wana mahusiano kama wazazi na Diamond.