Flaviana Matata Awatolea Povu Wanasiasa
Mwanadada Flaviana Matata ameonekana kukerwa na tabia za wanasiasa kwa tabia zao za kuwa na aahdai ambazo hazitekelezeki lakini wanakuja kuikososa serikali punde wanapotoka katika viti hivyo vya uongozi.
Flaviana anasema uwa kitendo icho kinakuwa kikiwachanganya sana wananchi hasa kwa sababu wao wanakuwa wanaona kile kinachofanyika kipinid wakiwa viongzoi lakini wanashgindwa kufanyia kazi , mwosho wa siku wakiona kuwa wameshatoka katika vile viti vya uongozi wanaanza kupiga kelele
katika ukurasa wake wa twitter, “kuna wanasiaisa wanatoa uamuzi wanajua abisa unatuumiza watu, alafu wakishatumbuliwa ndio wanataka kutuaminisha kuwa wao na sisi.Ebu mjifunze kutenda haki na kufanya maamuzi sahihi mnapokuwa mmekalia hivyo viti. “