Fid Q Afunga Ndoa na Mpenzi Wake Wa Siku Nyingi
Msanii wa muziki wa Hip hop nchini Fid Q amefunga ndoa rasmi na Mpenzi Wake ambaye amezaa naye Mtoto mmoja.
Fareed Kubanda maarufu kama Fid Q, amefunga ndoa siku ya jana katika Msikiti wa Qiblatain Boko Jijini Dar es Salaam.
Fid Q alimvisha pete ya uchumba Mpenzi Wake huyo siku chache zilizopita katika mkesha wa mwaka mpya na kufunga naye ndoa siku ya jana mwaka mpya.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Fid Q aliandika ujumbe huu Baada ya kumvisha pete Mpenzi Wake:
https://www.instagram.com/p/BsAK-gFD0rU/?utm_source=ig_share_sheet&igshid=7zc1chke3w3b