Fid Q Afunga Ndoa
Msanii mkongwe Fid q amefanikisha safri yake ya mapenzi baada ya kuamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi ambae wiki iliyopita aliamua kumvisha pete ya uchumba na hata january 2019 kuamua kufunga nae pingu za maisha.
Mwaka 2018 umekuwa mwaka mwema kwa baadhi ya wasanii hasa wa kiume ndani ya bongo fleva kwa sababu idaidi kubwa ya wasanii hao wamefanikiwa katika swala la kufunga ndoa na kuachana na ubachela.