Feza:Mama Alienda Kwenye Maombi Kanisani ili Nitolewe Big Brother.

Kila mtu anahistoria yake ya maisha ambayo inamfanya kuwa pale alipo, kuna baaadhi ya watu wakikuwakmbai walipopitia ukisia unaweza kulia lakini wengine uwa inafurahisha,Feza Kessy ana historia yake ya maisha na mafanikio yake kimuziki ambapo watu waliokuwa nyuma yake kumsaidia lakini akiwa anaongea unaweza kucheka lkini kwa kipindi hicho yeye alipitia magumu.

Msanii wa muziki wa bongo Feza Kessy ambae kwa sasa anafanya vizuri na kibao chake cha Simple amefunguka na kusema kuwa kipindi anaamua kushiriki kwenda katika amshindano ya Big Brother The Chase Afrika akiwa kama mwakilishi kutoka tanzania hakuna mtu yoyote wa kwao aliekuwa anajua kwa sababu ilibidi afanye siri.

download latest music    

Feza Kessy ambae mama yake anaonekana kuwa ni mtu wa dini na asiependa skendo katika mitandao anasema kuwa ilifika sehemu baada ya picha yake na Onel kutoka Botswana kusambaa mama yake aliamua kulipeleka swala lake kanisani ambapo walifanya mkesha wa maombi ili aweze kutoka katika jumba hilo kwa sababu mama yake alisema kwa jinsi mwane anavyofanya na yeye anaona basi atakufa na presha.

Mama anajua mimi naenda big brother tayari niko south Afrika, hata wakina vannesa hawakujua walijua naenda kwenye audition tu, sikumwambia mtu kwa sababu  kule walikuwa na rules za kutomwambia mtu.ilipoonekana video ya kuwa mimi nimemkiss onel mama alenda mpaka kanisani wakafanya mksha , akatoa request ya mimi kutolewa big brother maana alisema kuwa atakufa wa presha na kweli maombi bhana yanafanya kazi.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.