Ebitoke aliponda penzi la Ben Pol na Anerlisa
Mwanadada kutoka katika kiwanda cha burudani ya vichekesho nchini, Ebitoke ameliponda vikali penzi la msanii ebitoke ambae hapo awali alikuwa akisemwa katika mitandao kuwa ni mpenzi wake .
Ebitoke anasema kuwa msanii Ben pol hana cha maana hapo zaidi ya kuwa analelewa tu na mwanadada huyo hakunacha zaidi.
Mimi wala sijikisikii vibaya kwa sababu yule ninamuona kama kibenten tu kwaio nabaki nacheka tu,mtu unakula bata na kupelekwa dubai kwa hela gani sasa, wewe si unalelewa tu na unakuwa mbeba pochi tu.
Mahusiano kati a ben pol na ebitoke yalikwa na muda mrefu na yalikuwa yakizungumziwa sana katika mitandao ya kijamii.