Diva Afunguka Kuhusu Ndoa, Akiri Kuwa na Mahusiano na Zitto Kabwe
Mwanadada akiyejipatia umaarufu kwa sababu ya sauti yake na kazi yake ya utangazaji kutoka Clouds Fm, Diva The Bawse amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hana mpnago wa kufunga ndoa wala kuwa na mahusiano anataka kupumzika kwanza.
Hata hivyo msanii huyo siku za nyuma ilirekodiwa alisema kuwa kama anataka kuolewa na mtu basi itamgarimu milion 500 kama mahali lakini jana msanii huyo ameabdilisha uamuzi huo na kusema kuwa kwa sasa hivi hajali wala kuweka mbali pesa zaidi ya kuangalia mapenzi..
Mwanadada huyo ambae amekuwa na drama katika mitandao kila kukicha , aliachana na mpenzi wake Heri Muziki hivi juzi juzi na kufikia hatu aya kugombana mbele ya media huku ikionekana kuwa Heri akilalamika kuwa diva amekuwa akim-force mwanaume huyo kuwa nae katika mahusiano huku Diva pia akionekana kuallamika kwa mwanaume huo kutokwa na shukrani kwa mambo yote aliyokuwa akimfanyia ikiwa ni pamoja na kumlea.
Akiendelea kuzungumzia mahusiano yake, Diva the bawse aliulizwa swala la mahusiano yake ya nyuma na kutakiwa kutaja hadharani mahusiano yake alikuwa amekaa nayo muda mrefu huku aliyemuuliza akionyesha wasiwasi kama angeweza kujibu swala hilo lakini kwa kuonyesha ana ujasiri kabisa Diva the bawse aliweza kumtaja mpenzi wake aliedumu nae katika mahusiano kwa muda mrefu kuwa ni zitto kabwe.
mahusiano nilikaa nayo kwa muda mrefu yalikuwa ni miaka mitano, na alikuwa ni zitto kabwe.he is a politician na ni plubic figure na ni mtu ameoa na ninaheshimu ilo kwaio siwezi kumzungumzia sana.
Diva the bawse amekuwa katika mahusiano na watu tofauti tofauti ikiwani pamoja na Mo-racka ,King Crazy Gk, Zitto Kabwe na sasa hivi ametoka kubreak-up na Heri Muziki ambae inasemekana kuwa alimpatia ujauzito lakini ulitoka kwa bahati mbaya,
Lakini pia katika kuzungumza kwake Diva anasema kuwa sababu kubwa ya yeye kuachana na Heri ni kwa sababu ya ujauzito uliotoka ambapo mwanaume huyo hakuamini kama umetoka kwa bahati mbaya.