Diamond ni Kama Taifa Stars :-Afande Sele
msani wa muziki mkongwe kutoka Morogoro Afande sele amefunguka na kusema kuwa amekuwa aiumisana anapoona kuwa msanii mkubwa na mwenye mafanikio kama Diamond platinumz anakuwa akitukanwa na kudhalishwa katika mitandao ya kijamii,
Akiongea na waandishi wa habari, Afande Sele amefunguka na kusema kuwa kwa thamnai aliyonayo Diamond Tanzania ni kama timu ya taifa inapokuwa inawakilisha nchini hivyo kwake yeye anapoona watu wanamuandama Diamond anakuwa anaumia sana.
Afande sele anasema “Diamond ni kama taifa stars, akitukanwa mimi anaumia sana ”