Diamond na Wema Wazidi Kuonyeshana Mahaba
Mambo yanazidi kupamba moto huko katika mitandao ya kijamii baada ya Wema kushindwa kufika mahaba yake kwa Diamond baada ya kutoa wimbo wake mpya aliomshirikisha Omarion wimbo unaoitwa African Beauty .
Wema ambae ameonesha kupendezwa na wimbo huo amemsifia sana Diamond na kusema kuwa Diamond ni msanii anaejua sana kuimba na hawezi kuacha kuonyesha pale anapofurahishwa.
Im inlove with you there is nothing dat i wouldnt do, catch up granade for you as long as you want to …hili lijamaa linajua bhana @diamondplatinumz amaizing job you did here..cant get enough of this song…unanijuaga nikipenda nyimbo…
Diamond nae bila kuacha alimjibu kwa tashtiti.”unajua hizo picha nnavyozikubali basi wanifanyia kusudiiiiiiiii”
Wema nae alijibu tena kwa post ya Diamond “sio sana bwana ….kidogo tu...”