Diamond Kuipeperusha Bendera ya Tanzania Kombe la Dunia.
Tangu kufunguliwa kwa michuano ya kombe la Dunia miaka ya 1920 na kuanza kwa michuano hiyo miaka ya 1930 nchini Uruguay, Tanzania haijawahi kupata bahati ya kuwka historia ya kupeperusha bendera yake katika mashindano hayo, lakini kwa mara ya kwanza Diamond Platinumz anaifanyia Tanzania kupeperushiwa bendera yake mwaka huu kwa kuwa ani mmoja ya wasanii watakao imba wimbo wa kombe la Dunia na kutuimba katika ufunguzi siku hiyo.
Ni swala la kujivunia kwake na kwa watanzania kama Taifa kwa ujumla kwa sababu kwa upande wa diamond huko ni kuatambulika zaidi kimafaita na kidunia kwa sababu kombe la Dunia siku cha mchezo .Lakini pia kila atakae taka kumjua Diamond basi itakuwa fursa ya kujulikanakwa nchi pia.
Miaka kadhaa nyuma iliyopita Diamond alishawahi kuonyesha ndoto yake ya kutaka kushiriki katika michuano hiyo akiwa kama msanii na sasa ndoto zake zimetimia ambapo ufunguzi na mashindano hayo yatafanyika nchini Urusi.Wasanii wemngienwatakaoshiriki katika wimbo huo ni pamoja na Sami Dani wa Ethiopia,Ykee benda kutoka Uganda na Lizha James kutoka Msumbiji.