Diamond Awatupia Kijembe Clouds Fm Baada Ya Kumgeukia RC Makonda
Msanii wa muziki wa Bongo fleva na Mkurugenzi wa WCB Diamond Platnumz ameibuka na kuwatupia kijembe Clouds Fm Mara Baada ya kumgeukia RC Makonda.
Sakata la Wasafi Festival na Fiesta limeendelea kupamba moto ambapo inaonekana live kwamba kila mmoja anataka apige tamasha kubwa kuliko mwenzake.
Kwa muda mrefu kumekuwa hakuna maelewano kati ya pande hizo mbili kwaiyo ilivyotokea uwezekano wa kuwepo tamasha kwa siku moja lakini katika Mikoa tofauti.
Diamond Platnumz amewarushia kijembe Clouds Fm kwa kusema wameomba poo kwa mlezi wao akimaanisha Paul Makonda Baada ya kuonekana akilitangaza tamasha hilo na kuwataka watu wajae siku ya tukio.
Inafahamika kwamba mlezi wa Wasafi ni mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Paul Mkonda hivyo baada ya jana Clouds kumtumia Makonda katika moja ya video akiongelea inshu ya Ruge na kwamba yeye mwenye atakuwepo Fiesta imekuwa habari nyingine tena.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond ameandika: