Diamond Atoa Ofa kwa Mashabiki Kusherekea Birthday ya Tiffa S.A

Baba mzazi wa mtoto Tiffah, Daimond Platinumz ametoa ofa kwa mashabiki zake kusherekea sikukuuu  ya kuzaliwa ya mtoto huyo itakayo fanyika huko nchini Afrika ya Kusini.

Diamond ametoa wito kwa mashabiki zake kuwa kama challenge atakayo itoa itaweza kujibiwa na kufanywa kama anavyotaka basdi mashabikiwatakao ptia kwa usahihi kabisa watapata ticket za kwenda huko afrika a kusini.

download latest music    

katika ukurasa wake wa instagram Diamond aliandika ” watu 30 wne bahati nitawalipia  ndege na malazi kwenda kusherekea birthda na @  tiffah  uzaliwa wake south Africa …wanyumbani kama live on wasafi tv “

Hata hivo Diamond anasema kuwa kwa wale waliopo nyumbani watapata matangazo a sherehe nzima katika televisheni a WCB itakaoooneshwa Live.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.