Diamond, ATCL Waweka Mambo sawa, Aandika Maneno haya.
Msanii diamond platinumz baada ya kukwaruzana kidogo na kampuni ya ATCL wikiend hii kwa tuhuma za kuuziwa ticket yake na huku kampuni hiyo ikisema kuwa alikuwa amechelewa kufika katika uwanja wa ndege wamemmliza tiofauti zao na kuamua kufanya biashara kama mteja na muuzaji.
Kuna maneno yalisambaa sana katika mitandao ya kijamii kuhusu pande hizo mbili huku kila mmoja akiamua kuvutia upande wake lakini wawili hao wameonekana kumaliza mambo hayo na kila kitu kiko sawa sasa.
Baada ya kukosa ndege ya tarehe 16, Diamond platinumz na mpenzi wake walitegemewa kuondoka siku inayofuta na kwa kudhibitisha hilo, diamond aliandika maneno haya katika ukurasa wake wa instagram
“telling my wifey we just orded 2 airbus ticket for Tanzanian airline, so KQ better be ready ans she was like ooh really! i said ooh yes!!