Diamond Atangaza Tarehe ya Ndoa
Msanii Diamond Platinumz ambae mara zote amekuwa akisema kuwa katika mahusiano yake haya ndio mahusiano yake ya mwisho mpaka ndoa , amefunguka na kusema kuwa anatarajia kufunga ndoa tarehe 14/2/2019 kwa sababu ndio siku anayotaka kufunga ndoa.
tangu hapo awali, mwanamuziki huyo alisema kuwa atafunga ndoa mwakani na mwanamke aliyenae sasa hivi kutoka kenya anaejulikana kwa jina la tanasha.
katika moja ya maoni aliyokuwa akimjibu mashabiki wake, “unajua ni kiasi gani ninaisubiri hiyo siku , (14/2/20180 siku ya harusi ya simba”