Diamond Aongelea Mahusiano Yake na Wema,Hamisa na Tunda.

Skendo zake zimekuwa nying katika mitandoa ya kijamii na wamekuwa wakimsema kuhusu tabia ya kuruka kutoka kwa mwanamke mmoja kwenda kwa mwanamke mwingine kila mara.Diamond Platinumz hivi karibuni alikuwa na skendo ya kutoka kimapenzi na Tunda ambae ni video queen, ghafla kabla hilo  halijaaisha akionekana live akiwa na mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu wakiwa pamoja kimhaba katika sherehe ya kutambulisha moja ya wasanii wake wapya katika lebel yake.

Hata hivyo Diamond mwenyewe amekuwa akipinga vikali sana swla la mitandoa kusema na kutoa habari ambazo haziendani na kile anachokifanya katika hayo yote.Mara baada ya kusambaa kwa video hizo Diamond alisema kuwa hawajarudiana kimapenzi na Wema Sepetu bali wameamua kurekebisha tofauti zake na kurudi kuwa marafiki sasa.

download latest music    

Diamond anasema kuwa yeye na Wema walishawahi kuwa wapenzi lakini hiyo haiwafanya waendelea kuwa maadui kwa sababu wameachana na kwamba kutokana na ukaribu wao, kwa sasa wamekuwa kama wanafamilia hivyo hawezi kuacha kushirikiana nae.

                                                

                                                                            Wema Sepetu.

kikubwa watu wanatakiwa kutambua kuwa wema alikuwa mpenzi wangu na kwa sasa sio, lakini tuna mapenzi yaliyopitiliza tupo kama ndugu sasa.Na hata ukiangalia utakuja kugundua kuwa huk nyuma waliokuwa wakitugombanisha ni mashabiki na hilo ni jambo halitaweza kujirudia kwa sasa kwa sababu tumeshakuwa watu wazima.

                                                

                                                         Tunda 

swala la tunda lilishasemwa sana lakiniukweli utabaki kuwa huyo n rafiki yangu,na ndio maana anaonekana sana kuwa karibu na familia yangu.na mobeto pia ni mama wa mtoto wangu kwaio linapotokea jambo lolote la kumshirikisha lazima awe karibu.

                                

                                                            Hamisa Mobeto

Hamisa alialikwa katika sherehe ya maromboso lakini hakuja nadhani alichelewa kupata kadi. -Alimalizia Diamond kwa kusema hivyo.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.