Diamond ana Bahati ya Kupata Wanawake wazuri :-Masanja
Msanii na mchungaji na mfanyabiashara maarufu nchini Masanja mkandamizaji amefunguka na kumshangaa sana Diamond kwanini amekuwa akichelewa kuoa kwa sababu mungu amekuwa akimjalia wanawake wazuri lakini kila siku anakwepa ndoa.
Masanja ambae aliwahi kusema kuwa Diamond anakoelekea atakuja kuoa mganga wa kienyeji kwa sababu ya kuchagua kwake, anasema kuwa anatakiwa sasa aamuae ili aoe kwa sababu kila mwanamke anayempta ni mzuri lakini hajui anakwama wapi.
jamaa amekuwa na bahati ya kupata wanawake wazuri wazuri tu kuna kale kamoja kalikuwa katangazaji sijui ka wapi, mwingine alikuwaga miss lakini siwezi kumsema nmaana sijui yuko wapi sasa hivi, hivi unataka nini kwa mfano au unatafuta chenye AC‘