Diamond Afanya Kufuru ya Pesa za Wasafi festival.
Msanii Diamond Platinumz ameonekana akifanya kufuru kubwa ya kuonyesha pesa kwa kuzipanga zikiwa nyingi kwa pamoja katika meza huko alipokuwa Mwanza ambapo wikiendi hii ndipo ilipokuwa ikifanyika Wasafi festival.
msanii huyo amekuwa na tabia hiyo na kuonyesha pesa kwa mashabiki wake huku akiongea maneno ya kujisifu kuhusiana na pesa .
Katika video hiyo aliojirekodi, msanii huyo alionekana kuzipanga pesa za dola zaidi ya maburungutu kumi katika meza yake huku akioneka akiwa na mzpeni wake huyo mpya ambae ndie aliemyangaza kuwa mke wake mtarajiwa TANASHA.