Daimond ni Nembo ya Taifa:-Mh Ngeleja
Mbunge wa Sengerema William Ngeleja ameishauri serikali kuwatumia wasanii wakubwa wanaopata fursa za kufanya kazi za sanaa kimataifa kuitangaza Tanzania katika nyanja mbalimbali.Ngeleja amesema kuwa msanii kama Diamond anapaswa kutumiwa vizuri na nchi kutokana na kazi zake anazoendelea kufanya za kimataifa kama hii aliyoipata sasa ya kuimba katika kombe la Dunia.
bongo fleva ametutoa, tunamzungumzia msanii kama diamond platinumz ambae amechaguliwa kuliwakilisha taifa kwenye wimbo wa kombe la dunia mwaka huu.Ninaamini kuwa huko anakoenda anaenda kutuwakilisha.Naamini wizara ya maliasili inam-package kwenda kuitangaza nchi yetu , diamond kwa sasa ni nembo ya Taifa .kwaio ni muhimu kuwa na watu kama hawa katika nchi yetu.
Diamond na msanii kutoka Marekani Jason Derulo wataiba wimbo unaitwa Colours ukiwa unaalengo la kuburudisha na maaarumu kwa ajli ya kombe la Dunia mwaka huuu litakalo fanyika nchini Urusi.