Chote unachohitaji kujua kuhusu ugonjwa mpya hatari unaoenea Tanzania
kuna ripoti zimekuwa zikitambaa Tanzania ya kwamba kuna ugonjwa mpya ambao ni hatari unaoenea kwa kasi.
Na kweli kunao ugonjwa kama ilivyoelezwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu pamoja na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dk lakini serikali imeweza kuukaba usitie madhara mengi kwa wananchi.
Watazame wawili hao wakieleza zaidi kwenye hii video: